SAML SSO for Chrome Apps
ID
aoggjnmghgmcllfenalipjhmooomfdceHusaidia wasimamizi kusanidi SAML SSO kwa programu za Chrome kwa kushiriki vidakuzi vilivyochujwa na programu zilizoidhinishwa kupitia sera.
Maelezo ya kiendelezi
Picha za skrini
Maelezo
Kiendelezi cha kusaidia wasimamizi kusanidi SAML SSO kwa programu za Chrome.
Huwawezesha wasimamizi kuhamisha kikundi kilichochujwa cha vidakuzi vya mtumiaji kwenda kwenye programu zinazoshiriki ambazo zimo kwenye orodha ya zinazoruhusiwa na sera. Orodha tupu ya zinazoruhusiwa itasababisha tabia ya chaguomsingi, ambayo ni kuzuia maombi yote yanayoingia na kutokabidhi vidakuzi vyovyote.
Wasimamizi wanapaswa kuongeza kwenye orodha ya zinazoruhusiwa programu tu wanazoziamini kikamilifu kuhusu data ya mtumiaji. Wanapaswa kuhakikisha kuwa fomu zote zinazofaa za ridhaa zimewekwa kwa ajili ya watumiaji, kwa kuwa wanazipa programu fulani ruhusa kwa niaba yao, na mfumo hautawaonyesha watumiaji wa mwisho fomu zozote za ridhaa mara ruhusa itakapotolewa kupitia sera ya msimamizi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu chaguo za kuchuja, tafadhali angalia https://github.com/GoogleChrome/chromeos_saml_apps/blob/master/src/schema.json na https://developer.chrome.com/extensions/cookies#method-getAll.
Msimbo wa kiendelezi hiki umewekwa wazi kwa umma katika: https://github.com/GoogleChrome/chromeos_saml_apps.
Nyaraka za Chrome for Work zinapatikana katika: https://support.google.com/chrome/a/answer/7064180.