Picha za skrini

Maelezo

Kiendelezi kisicho na kifani cha kuzuia matangazo na madirisha ibukizi. Huzuia matangazo kwenye Facebook, YouTube na tovuti nyingine zote. Kiendelezi kisicho na kifani dhidi ya matangazo, ufuatiliaji na madirisha ibukizi. Hatimaye mfano wetu wa majaribio wa Manifest V3 umeunganishwa na kiendelezi cha kivinjari cha AdGuard, na tunafurahi kutangaza toleo la kwanza la beta! Bila shaka unakifahamu kiendelezi cha kivinjari cha AdGuard, ambacho huzuia kwa ufanisi aina zote za matangazo ya mtandaoni. Lakini baada ya kutolewa kwa Manifest V3, hakitafanya kazi tena. Ili usilazimike kukumbuka jinsi madirisha ibukizi, mabango ya matangazo na matangazo ya video yanavyoonekana, na ili ujisikie salama ukijua kwamba kiendelezi kinakukinga dhidi ya vifuatiliaji, tovuti hatari na tovuti zinazojifanya halali ili kuiba taarifa, tumeunda kiendelezi cha kivinjari cha AdGuard V3. Tunakaribisha maswali yoyote au ripoti za hitilafu hapa: https://github.com/AdguardTeam/AdguardBrowserExtension/issues