Honey: Automated Coupons & Rewards
ID
bmnlcjabgnpnenekpadlanbbkooimhnjPata kuponi na zawadi unaponunua, fuatilia kushuka kwa bei na ulinganishe wauzaji wa Amazon, ikiwemo gharama za usafirishaji.
Picha za skrini
Maelezo
Okoa pesa na ujipatie zawadi unaponunua mtandaoni.
Jiunge na wanachama zaidi ya milioni 17 wanaotumia PayPal Honey kupata ofa, kujipatia zawadi na kulinganisha bei wanaponunua.
🪄 Pata ofa nzuri kwenye tovuti zaidi ya 30,000
Kwa mbofyo mmoja, Honey itatafuta kiotomatiki kuponi za kidijitali na misimbo ya punguzo na kuzitumia kwenye kikapu chako cha ununuzi.
🎉 Jikusanyie zawadi
Unaweza kujipatia zawadi katika maelfu ya maduka kama AliExpress, eBay, Macy’s na Nike!
💯 Jua wakati bora wa kununua
Ongeza bidhaa kwenye orodha yako ya Droplist na Honey itafuatilia bei. Tutakutumia barua pepe tukigundua bei imeshuka, ili usikose ofa.
✅ Linganisha wauzaji wa Amazon kwa urahisi
Tunakulinganishia wauzaji – hata tukizingatia gharama zao za usafirishaji na hali yako ya Prime. Tumia zana zetu za kufuatilia bei na kuangalia historia ya bei ili kupata nafasi zaidi za kuokoa pesa.
----------------------------------------------
Kwa kutumia kiendelezi cha kivinjari cha PayPal Honey, unakubali sheria na masharti ya Honey. (https://www.joinhoney.com/terms)
Unapotumia PayPal Honey, wafanyabiashara wanaweza kutulipa kamisheni za ushirika. Tunagawana kamisheni hizo na watumiaji wetu kwa njia ya zawadi.
Kanusho: Kiendelezi hiki hutumia Google Analytics kukusanya takwimu za matumizi ya kiendelezi ili kusaidia kuboresha uzoefu wa watumiaji. Ikiwa unataka kujiondoa kwenye ufuatiliaji wa Google Analytics, tafadhali tembelea http://tools.google.com/dlpage/gaoptout au unaweza kuweka kichujio katika Adblock Plus au zana nyingine zinazofanana za kuzuia matangazo kama AdBlock, uBlock au Adblock Pro.