Avira Browser Safety
ID
flliilndjeohchalpbbcdekjklbdgfkkZuia tovuti hasidi na vifuatiliaji, weka alama kwenye matokeo ya utafutaji yasiyo salama, na linda vipakuliwa dhidi ya programu zisizotakikana.
Picha za skrini
Maelezo
Kuvinjari kwako kunakuwa kwa faragha na salama
Avira Browser Safety hukulinda dhidi ya tovuti hasidi na vifuatiliaji visivyoonekana
Kuvinjari salama
- Vinjari kwa usalama: Tunazuia zaidi ya tovuti hasidi milioni 80 kwa mwezi.
- Linda utambulisho wako: Tunagundua zaidi ya mashambulizi milioni 20 ya hadaa na barua taka kwa mwezi.
- Pakua kwa usalama: Tunazuia zaidi ya programu milioni 1 zinazoweza kuwa zisizotakikana (PUA) zisijifiche katika vipakuliwa vyako.
Kuvinjari kwa faragha
- Kuzuia ufuatiliaji: Tunazuia maelfu ya mitandao ya matangazo isikufuatilie mtandaoni.
- Matumizi bora zaidi: Tunakuwezesha kufikia huduma zako zote za wavuti unazozipenda bila kuingiliwa.
Utafutaji bora zaidi
- Jua kabla ya kutembelea: Tunaangazia tovuti zilizoambukizwa moja kwa moja katika matokeo yako ya utafutaji.
- Kuzuia utekaji: Tunahakikisha kuwa huelekezwi kamwe kwenye injini hasidi za utafutaji.