Picha za skrini

Maelezo

Rahisisha mitihani ya uandishi kupitia Google Docs kwa kuficha vipengele visivyohitajika Kiendelezi hiki, ambacho kimekusudiwa hasa kwa tathmini kwa kutumia Google Docs kwenye Chromebook, huficha kiotomatiki paneli ya Utafiti, paneli ya Utafutaji wa Picha na chaguo za tafsiri katika Google Docs ili kusaidia kuhakikisha mazingira salama ya mtihani. Kitumike pamoja na akaunti zilizowekewa vizuizi kupitia Usimamizi wa Vifaa wa Google Apps.