Maelezo

Tazama video kwa kutumia Picha ndani ya Picha Picha ndani ya Picha (PiP) hukuwezesha kutazama video katika dirisha linaloelea (juu ya madirisha mengine kila wakati), ili uweze kuendelea kufuatilia unachotazama huku ukitumia tovuti au programu nyingine. Njia ya mkato ya kibodi: Alt + P (⌥ + P kwenye macOS) Msimbo chanzo: https://github.com/GoogleChromeLabs/picture-in-picture-chrome-extension Kwa kusakinisha kiendelezi hiki, unakubali Sheria na Masharti ya Google na Sera yake ya Faragha zilizo katika https://www.google.com/intl/en/policies/.