Picha za skrini

Maelezo

Kidhibiti cha hati za mtumiaji chenye msimbo huria kinachofanya kazi kwenye vivinjari vingi Violentmonkey huwezesha matumizi ya hati za mtumiaji kwenye vivinjari. Hufanya kazi kwenye vivinjari vinavyotumia WebExtensions. Inaauni sehemu kubwa ya hati za Greasemonkey na Tampermonkey. Vipengele: - Husasisha kiotomatiki kulingana na metadata. - Hati zitatekelezwa kwa mpangilio unaoonyeshwa kwenye orodha. - Vitendaji vya GM vinaweza kutumika. - Inawezesha kuagiza kutoka kwenye faili ya ZIP na kuhamisha kwenda kwenye faili ya ZIP. - Usawazishaji na Dropbox, OneDrive, Google Drive na WebDAV!