SteamDB
ID
kdbmhfkmnlmbkgbabkdealhhbfhlmmonBoresha kurasa za duka na jumuiya ya Steam kwa historia ya bei za michezo, takwimu za wachezaji, mwonekano wa mafanikio na viungo vya SteamDB.
Picha za skrini
Maelezo
Huongeza viungo vya SteamDB na vipengele vipya kwenye duka na jumuiya ya Steam. Ona bei za chini zaidi za michezo na takwimu.
- Huonyesha bei ya chini zaidi iliyowahi kurekodiwa kwenye kurasa za michezo (sarafu zote zinatumika, historia ya bei)
- Huonyesha idadi ya wanaocheza kwa wakati mmoja na idadi za juu zaidi kwenye kurasa za michezo
- Huonyesha sasisho la karibuni la mchezo kwenye ukurasa wa mchezo
- Huongeza viungo vya SteamDB katika tovuti za Steam
- Huongeza kiungo cha PCGamingWiki
- Huboresha ukurasa wa mafanikio binafsi uwe wa kisasa na kupanga mafanikio kwa makundi kulingana na sasisho na DLC
- Vitufe vya kuuza haraka katika orodha ya vitu ulivyo navyo
- Huruka ukurasa wa kuthibitisha umri dukani
- Hukubali Mkataba wa Msajili kiotomatiki kwenye kurasa za soko, orodha ya vitu na kuwezesha misimbo ya bidhaa
- Huondoa kichujio cha viungo cha “Unaondoka Steam” kwa tovuti za nje
- Huangazia michezo, DLC na vifurushi unavyomiliki kwenye steamdb.info
- Hukuwezesha kuongeza michezo kwenye orodha ya matamanio, kuifuata na kuipuuza moja kwa moja kutoka steamdb.info
- Marekebisho na vipengele vingine vingi vidogo
- Mbadala rahisi na wa haraka zaidi wa Enhanced Steam na Augmented Steam
Taarifa zaidi: https://steamdb.info/extension/
GitHub: https://github.com/SteamDatabase/BrowserExtension