Shazam: Find song names from your browser
ID
mmioliijnhnoblpgimnlajmefafdfilbTambua muziki unaochezwa kwenye kichupo cha kivinjari, tazama maneno ya nyimbo na historia ya nyimbo, na ucheze nyimbo kamili kwa Apple Music.
Picha za skrini
Maelezo
Tambua muziki, tafuta maneno ya nyimbo na mengineyo
Huo ni wimbo gani?
Unajiuliza ni wimbo gani unaochezwa kwenye video hiyo ya Netflix au YouTube, kwenye mchanganyiko huo wa Soundcloud au kwenye mchezo wa video unaotiririshwa kwenye Twitch? Pakua na usakinishe kiendelezi cha Shazam cha kivinjari ili kutambua muziki kwa kubofya kitufe. Gundua wasanii, maneno ya nyimbo na video bila malipo! Shazam hutambua nyimbo BILIONI 1 kila mwezi.
“Shazam ni programu inayohisi kama uchawi” - Techradar.com (http://techradar.com/)
“Shazam ni zawadi... inaleta mabadiliko makubwa” - Pharrell Williams, GQ
KWA NINI UTAIPENDA
- Tambua nyimbo zozote zinazochezwa kwenye kichupo cha kivinjari chako
- Fikia historia ya nyimbo ya Shazam ya kivinjari wakati wowote
- Cheza nyimbo kamili kwa Apple Music
- Pata maneno ya nyimbo, video za muziki na mengineyo kwa kubofya mara moja
Shazam ndiyo njia ya HARAKA ZAIDI ya kutambua muziki!
Ifahamu programu ya Shazam na vipengele vyake kwenye http://www.shazam.com/apps
Upatikanaji na vipengele vinaweza kutofautiana kulingana na nchi.