Picha za skrini

Maelezo

Aga uthibitisho unaokera wa “Video imesitishwa. Uendelee kutazama?”! ***Muhimu: kiendelezi hiki hakizuii kisanduku cha uthibitisho kisijitokeze. Kinakijibu tu. Kinabofya uthibitisho kiotomatiki ili video isisitishwe.*** Kinafanya kazi kwenye YouTube na YouTube Music! Vitufe vya midia vinatumika! Hakijajaribiwa (lakini kinapaswa kufanya kazi) wakati video iko katika skrini nzima au kwenye kichezaji kidogo. Ukiwa na tatizo lolote, usisite kunitumia barua pepe. :)