Picha za skrini

Maelezo

Weka tovuti zako zote uzipendazo mahali pamoja kwa kutumia Visual Bookmarks Je, alamisho nane za kawaida katika Google Chrome™ hazikutoshi? Sakinisha Visual Bookmarks kutoka Yandex! Unaweza kuongeza idadi yake hadi 25. Unaweza kuonyesha au kuficha alamisho moja moja kwa urahisi ili zisifunike sehemu za mandharinyuma. Pia, upau wa alamisho wa kivinjari utakuwa karibu nawe kila wakati. Kutoka kwenye ukurasa wa Visual Bookmarks, unaweza kufungua programu za Google Chrome™ kwa urahisi. Kwa kusakinisha programu, unakubali masharti ya Mkataba wa Leseni http://legal.yandex.ru/desktop_software_agreement/