Picha za skrini
Maelezo
Paletería: Na Liz Hernández
“‘Paletería’ imechochewa na aina nyingi za viungo asilia vinavyopatikana katika maduka ya paleta ya mtaani. Iwe unapendelea ladha tamu, kali, zenye krimu au chachu, daima utapata kitafunio kilichogandishwa kinachokufaa.”
Liz Hernández ni msanii wa Mexico anayeishi Oakland, California. Kazi yake ya sanaa, inayojumuisha uchoraji, kuchora, uchongaji na uandishi, inaathiriwa sana na kumbukumbu na mazingira yake ya Mexico City.
--
“‘Paletería’ imechochewa na aina nyingi za viungo asilia vinavyopatikana katika maduka ya aiskrimu ya mtaani. Unaweza kuchagua ladha mbalimbali: tamu, kali, zenye krimu au chachu. Daima utapata aiskrimu inayokufaa kabisa.”