Picha za skrini

Maelezo

Furahia picha nzuri kutoka Google Earth kila unapofungua kichupo kipya. Earth View huonyesha mandhari nzuri kutoka Google Earth kila unapofungua kichupo kipya. Kuna nini kipya katika toleo la 3? MANDHARI MPYA 1,000+: Mandhari zaidi kutoka maeneo mengi zaidi duniani. UBORA BORA ZAIDI: Picha zilizo wazi zaidi na zenye rangi zaidi, zilizoboreshwa kwa ajili ya skrini za kisasa zenye DPI ya juu. RAMANI YA RANGI YA DUNIA: Chunguza picha zote 2,500 kulingana na eneo na rangi kwenye ramani yetu mpya: g.co/ev/map Pata maelezo zaidi kuhusu sera yetu ya faragha katika https://www.google.com/policies/privacy/