Lighthouse
ID
blipmdconlkpinefehnmjammfjpmpbjkKagua kurasa za wavuti kwa majaribio na ripoti za kiotomatiki ili kuboresha utendaji, ubora na usahihi wa utendaji wa programu za wavuti.
Maelezo ya kiendelezi
Picha za skrini
Maelezo
Lighthouse ni zana ya kiotomatiki yenye msimbo huria ya kuboresha utendaji, ubora na usahihi wa utendaji wa programu zako za wavuti.
Lighthouse ni zana ya kiotomatiki yenye msimbo huria ya kuboresha utendaji, ubora na usahihi wa utendaji wa programu zako za wavuti.
Wakati wa kukagua ukurasa, Lighthouse hufanya mfululizo wa majaribio kwenye ukurasa huo, kisha hutengeneza ripoti inayoonyesha jinsi ukurasa ulivyofaulu. Kisha unaweza kutumia majaribio ambayo hayakufaulu kama viashiria vya unachoweza kufanya ili kuboresha programu yako.
* Mwongozo wa kuanza haraka kutumia Lighthouse:
https://developers.google.com/web/tools/lighthouse/
* Tazama na ushiriki ripoti mtandaoni:
https://googlechrome.github.io/lighthouse/viewer/
* Msimbo chanzo na maelezo kwenye Github:
https://github.com/GoogleChrome/lighthouse