Microsoft Bing Search with Rewards
ID
fbgcedjacmlbgleddnoacbnijgmiolemFuatilia pointi za Microsoft Rewards na ofa za kila siku, fungua kurasa za kukomboa zawadi na uweke Bing kuwa injini yako chaguomsingi ya utafutaji.
Picha za skrini
Maelezo
Tumia kiendelezi cha Microsoft Rewards kupata njia mpya za kujipatia pointi kila siku, kufuatilia pointi zako kwa urahisi na kuweka Bing kuwa injini yako chaguomsingi ya utafutaji
• Angalia salio la pointi zako na hadhi yako wakati wowote
• Fungua kurasa zako za zawadi na za kukomboa zawadi kwa urahisi
• Kamilisha ofa za kila siku haraka ili upate pointi
• Fuatilia idadi ya pointi unazopata kila siku
• Angalia idadi ya pointi unazohitaji ili kukomboa zawadi unayolenga
• Angalia idadi ya pointi unazohitaji ili kudumisha hadhi ya Kiwango cha 2 mwezi huu (wanachama wa Kiwango cha 2 pekee)
Kuhusu Microsoft Rewards
Hii ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata zawadi kwa kufanya mambo ambayo tayari unafanya. Tafuta tu kwa Bing, vinjari kwa Microsoft Edge na ununue katika maduka ya Microsoft na Windows ili upate zawadi bila malipo. Ingia tu katika Microsoft Rewards au ujiunge leo (https://www.bing.com/explore/rewards).
Hivi ndivyo unavyopata
Filamu, muziki, michezo, programu na mengine mengi. Badilisha tu pointi zako upate maudhui unayotaka, au tumia pointi kulipia sehemu ya ununuzi wa Xbox One na vifaa vingine bora. Hakuna programu nyingine inayokupa manufaa kwa kufanya mambo unayopenda kwa kutumia bidhaa na vifaa vya Microsoft.