Picha za skrini

Maelezo

Weka alamisho zako za Chrome kwenye Windows zikiwa zimesasishwa kulingana na alamisho za Safari kwenye iPhone, iPad na Mac yako. iCloud huhifadhi alamisho za tovuti zako, hivyo zinapatikana popote uendapo — kwenye iPhone, iPad, Mac na PC yako. Kwa hiyo, unaweza kubadilisha kifaa unachotumia bila kuvuruga mpangilio wa mambo. Kumbuka: iCloud for Windows inahitajika ili kutumia iCloud Bookmarks http://www.apple.com/legal/sla/docs/iCloudControlPanel.pdf