Picha za skrini

Maelezo

My Apps Secure Sign-in Extension Kiendelezi hiki kinahitajika kwa ubadilishaji wa viungo wa App Proxy na kwa kuingia mara moja kwenye programu zinazotumia nenosiri. Pia unaweza kukitumia, ukipenda, kufungua tovuti ya My Apps ili kutafuta programu unazoruhusiwa kufikia. Kwa kiendelezi hiki unaweza: • Kuingia kwenye programu zinazotumia nenosiri kwa mfumo wa kuingia mara moja—moja kwa moja kutoka kwenye ukurasa wa kuingia wa programu na pia kutoka kwenye tovuti ya My Apps • Kufikia URL za ndani za kampuni ukiwa mbali • Kufungua tovuti ya My Apps ili kutafuta miongoni mwa programu unazoruhusiwa kufikia Pata maelezo zaidi: • Ubadilishaji wa viungo wa App Proxy: https://learn.microsoft.com/en-us/entra/identity/app-proxy/application-proxy-configure-hard-coded-link-translation • Kuingia mara moja kwa kutumia nenosiri: https://learn.microsoft.com/en-us/entra/identity/enterprise-apps/configure-password-single-sign-on-non-gallery-applications • Tovuti ya My Apps: https://learn.microsoft.com/en-us/entra/identity/enterprise-apps/myapps-overview ILANI NA TAARIFA KUHUSU PROGRAMU ZA WAHUSIKA WENGINE Programu hii inategemea au inajumuisha nyenzo kutoka kwenye miradi iliyoorodheshwa hapa chini (kwa pamoja, "Msimbo wa Wahusika Wengine"). Microsoft si mtunzi wa awali wa Msimbo wa Wahusika Wengine. Ilani ya awali ya hakimiliki na leseni ambayo Microsoft ilipokelea Msimbo huo wa Wahusika Wengine zimewekwa hapa chini. Microsoft inahifadhi haki zote ambazo hazijatolewa waziwazi hapa, iwe kwa kudokezwa, kwa kanuni ya kisheria inayozuia kukanusha msimamo wa awali, au kwa njia nyingine yoyote. JavaScript Zlib Library Hakimiliki (c) 2012 imaya Leseni ya MIT Ruhusa inatolewa hapa, bila malipo, kwa mtu yeyote anayepata nakala ya programu hii na faili za nyaraka zinazohusiana nayo ("Programu"), kufanya shughuli zozote zinazohusu Programu bila kizuizi, ikijumuisha, bila kuweka kikomo, haki za kutumia, kunakili, kurekebisha, kuunganisha, kuchapisha, kusambaza, kutoa leseni ndogo, na/au kuuza nakala za Programu, na kuwaruhusu watu wanaopewa Programu kufanya hivyo, kwa kuzingatia masharti yafuatayo: Ilani ya hakimiliki iliyo hapo juu na ilani hii ya ruhusa lazima zijumuishwe katika nakala zote au sehemu kubwa za Programu. PROGRAMU INATOLEWA "KAMA ILIVYO", BILA DHAMANA YA AINA YOYOTE, ILIYOTOLEWA WAZIWAZI AU INAYODOKEZWA, IKIJUMUISHA LAKINI BILA KUWEKA KIKOMO DHAMANA ZA KUFAA KWA BIASHARA, KUFAA KWA KUSUDI FULANI NA KUTOKIUKA HAKI. KATIKA HALI YOYOTE, WATUNZI AU WENYE HAKIMILIKI HAWATAWAJIBIKA KWA DAI LOLOTE, FIDIA AU WAJIBU MWINGINE, IWE KATIKA SHAURI LA MKATABA, KOSA LA MADAI AU VINGINEVYO, UNAOTOKANA NA PROGRAMU AU UNAOHUSIANA NA PROGRAMU, MATUMIZI YAKE AU SHUGHULI NYINGINE ZINAZOIHUSU. JavaScript autoComplete v1.0.4 Hakimiliki (c) 2014 Simon Steinberger / Pixabay Leseni ya MIT Ruhusa inatolewa hapa, bila malipo, kwa mtu yeyote anayepata nakala ya programu hii na faili za nyaraka zinazohusiana nayo ("Programu"), kufanya shughuli zozote zinazohusu Programu bila kizuizi, ikijumuisha, bila kuweka kikomo, haki za kutumia, kunakili, kurekebisha, kuunganisha, kuchapisha, kusambaza, kutoa leseni ndogo, na/au kuuza nakala za Programu, na kuwaruhusu watu wanaopewa Programu kufanya hivyo, kwa kuzingatia masharti yafuatayo: Ilani ya hakimiliki iliyo hapo juu na ilani hii ya ruhusa lazima zijumuishwe katika nakala zote au sehemu kubwa za Programu. PROGRAMU INATOLEWA "KAMA ILIVYO", BILA DHAMANA YA AINA YOYOTE, ILIYOTOLEWA WAZIWAZI AU INAYODOKEZWA, IKIJUMUISHA LAKINI BILA KUWEKA KIKOMO DHAMANA ZA KUFAA KWA BIASHARA, KUFAA KWA KUSUDI FULANI NA KUTOKIUKA HAKI. KATIKA HALI YOYOTE, WATUNZI AU WENYE HAKIMILIKI HAWATAWAJIBIKA KWA DAI LOLOTE, FIDIA AU WAJIBU MWINGINE, IWE KATIKA SHAURI LA MKATABA, KOSA LA MADAI AU VINGINEVYO, UNAOTOKANA NA PROGRAMU AU UNAOHUSIANA NA PROGRAMU, MATUMIZI YAKE AU SHUGHULI NYINGINE ZINAZOIHUSU.