Picha za skrini

Maelezo

Huifanya Gmail kuwa programu yako chaguomsingi ya barua pepe na hutoa kitufe cha kutunga ujumbe wa Gmail ili kushiriki kiungo haraka kwa barua pepe Kiendelezi hiki kitafungua dirisha la kutunga ujumbe katika Gmail unapobofya anwani yoyote ya barua pepe kwenye ukurasa wa wavuti. Pia hutoa kitufe ambacho kikibofywa kitaunda ujumbe wa Gmail, kwa kutumia kichwa cha ukurasa kama mada na maandishi yaliyochaguliwa kwenye ukurasa pamoja na anwani ya kiungo kama maudhui ya ujumbe. Ili kuweka jina la kikoa la akaunti yako ya "Google Apps for your domain", bofya Chaguo. Kwa kusakinisha kiendelezi hiki, unakubali Sheria na Masharti ya Huduma katika https://chrome.google.com/extensions/intl/en/gallery_tos.html