Google Keep Chrome Extension
ID
lpcaedmchfhocbbapmcbpinfpgnhiddiHifadhi kurasa za wavuti, maandishi na picha kwenye Google Keep, ongeza madokezo na lebo, na uyasawazishe kwenye vifaa vyako vyote.
Maelezo ya kiendelezi
Picha za skrini
Maelezo
Hifadhi kwenye Google Keep kwa mbofyo mmoja tu!
Je, umepata ukurasa wa wavuti, picha au nukuu unayotaka kuhifadhi kwa ajili ya baadaye? Kwa Kiendelezi cha Google Keep cha Chrome, hifadhi kwa urahisi vitu unavyojali kwenye Keep na uvisawazishe kwenye majukwaa yote unayotumia — yakiwemo wavuti, Android, iOS na Wear. Andika madokezo ili kuongeza maelezo na uongeze lebo ili kuainisha dokezo lako haraka na kulipata tena baadaye.
Vipengele:
• Hifadhi URL, maandishi na picha
• Andika madokezo kuhusu maudhui yaliyohifadhiwa
• Ongeza lebo kwenye madokezo yako
• Huhifadhi kwenye Google Keep kiotomatiki
Jaribu Google Keep kwenye wavuti katika https://keep.google.com, kwenye kifaa chako cha Android katika https://g.co/keep, na kwenye kifaa chako cha iOS katika https://itunes.apple.com/us/app/google-keep-your-thoughts/id1029207872.