Picha za skrini

Maelezo

Unda midia ya urejeshaji kwa kifaa chako cha Chromebook au Googlebook. Hiki ni kiendelezi cha Chrome cha kurejesha Chromebook na Googlebook. Tumia kiendelezi hiki kwenye vifaa vya Chromebook vyenye toleo la M55+, Windows na Mac ili kuunda midia ya urejeshaji. Uwezo wa kuunda midia ya urejeshaji kwenye Googlebook utapatikana mapema mwaka ujao. Maelekezo ya kurejesha Chromebook yanapatikana hapa: https://support.google.com/chromebook/answer/6002417 Maelekezo ya kurejesha Googlebook yanapatikana hapa: https://support.google.com/googlebook/answer/17452429 Kwa kusakinisha kipengee hiki, unakubali Sheria na Masharti ya Google na Sera yake ya Faragha zinazopatikana kwenye https://www.google.com/intl/en/policies/.