Picha za skrini

Maelezo

Kiigaji cha terminal na programu ya kuunganisha kwa SSH na SFTP. Secure Shell ni kiigaji cha terminal kinachooana na xterm na programu inayojitegemea ya kuunganisha kwa ssh kwa Chrome. Inatumia Native-Client kuunganisha moja kwa moja kwenye seva za ssh bila kuhitaji seva wakilishi za nje. Programu ya SFTP ya mstari wa amri imejumuishwa. Kwenye ChromeOS, unaweza kuunda miunganisho ya SFTP iliyopachikwa na kuifikia kutoka kwenye programu ya Faili! Sasa toleo la majaribio la alfa la Mosh limejumuishwa pia. Imejaribiwa kwa kina kwa miaka michache. Tafadhali soma maswali yanayoulizwa mara kwa mara, yanayopatikana hapa: https://hterm.org/x/ssh/faq. Unaweza pia kubadilishana maoni kwenye orodha ya barua pepe ya chromium-hterm, inayopatikana hapa: https://hterm.org/x/ssh/contact. Orodha ya mabadiliko inapatikana hapa: https://hterm.org/x/ssh/changelog