Picha za skrini

Maelezo

Kiigaji cha terminali na programu ya mteja ya SSH na SFTP. Hili ni toleo la maendeleo la kiendelezi cha Secure Shell. Lina marekebisho na vipengele ambavyo huenda bado havipatikani katika toleo thabiti. Litumie kwa kuwajibika mwenyewe kwa hatari yoyote. Ikiwa hupendi kuendesha msimbo uliojaribiwa kwa kiwango kidogo, sakinisha toleo thabiti badala yake: https://chrome.google.com/webstore/detail/iodihamcpbpeioajjeobimgagajmlibd Tafadhali soma maswali yanayoulizwa mara kwa mara, yanayopatikana hapa: https://hterm.org/x/ssh/faq. Unaweza pia kubadilishana maoni katika orodha ya barua ya chromium-hterm, inayopatikana hapa: https://hterm.org/x/ssh/contact. Orodha ya mabadiliko inapatikana hapa: https://hterm.org/x/ssh/changelog