Picha za skrini

Maelezo

Unda hifadhi ya USB ya urejeshaji ya Meet Compute System yako. Hiki ni kiendelezi cha Chrome cha kuunda midia ya urejeshaji ya Meet Compute System yako. Tumia zana hii kwenye Chromebook za M55+ na vifaa vya Windows na Mac ili kuunda midia ya urejeshaji. Maelekezo ya kutumia zana hii yanapatikana hapa: https://support.google.com/meethardware/answer/10562922 Kwa kusakinisha kipengee hiki, unakubali Sheria na Masharti ya Google na Sera ya Faragha katika https://www.google.com/intl/en/policies/.