Picha za skrini
Maelezo
Unda fomu na tafiti za mtandaoni
Kusanya uthibitisho wa kuhudhuria, fanya utafiti, au unda kwa haraka orodha ya wanatimu kwa kutumia fomu rahisi ya mtandaoni. Kisha angalia matokeo, yaliyopangwa vizuri katika lahajedwali.
Pata majibu ya maswali yako
Unda tafiti za mtandaoni zilizo rahisi au za kina. Zishiriki kupitia kiungo, zipachike kwenye tovuti yako, au hata moja kwa moja ndani ya barua pepe.
Tulia na utazame matokeo yakiingia
Majibu yote ya maswali yako yanapangwa vizuri katika lahajedwali, hivyo kupanga na kuchanganua data ni rahisi sana.
Fikia popote, wakati wowote
Data yote ya fomu zako inapangwa kiotomatiki katika Google Sheets na kuhifadhiwa katika Google Drive. Ifikie popote unapoenda, kutoka kwenye kifaa chochote.