Picha za skrini

Maelezo

Unda maumbo na michoro Ongeza rangi kwenye hati, mawasilisho na tovuti zako kwa chati na michoro ambayo ni rahisi kuunda. Kamilisheni pamoja Tengeneza chati, panga michoro, unda chati za mtiririko, kisha uziongeze kwa urahisi kwenye hati nyingine au uzipachike kwenye tovuti. Ungependa kutoa maoni? Toa maoni kwenye umbo au kisanduku cha maandishi ili kutoa muktadha wa majadiliano yenu. Tuma arifa ya barua pepe kwa kumwongeza mtu kwenye maoni. Fikia popote, wakati wowote Michoro yako yote huhifadhiwa kiotomatiki kwenye Google Drive. Ifikie popote unapoenda, kutoka kwenye kifaa chochote.