Picha za skrini

Maelezo

Jikomboe kutoka kwa vifuatiliaji vya mtandaoni. Furahia faragha zaidi unapovinjari bila kuvuruga uzoefu wako wa kuvinjari. Ukiwa na Avast AntiTrack, unaweza kuficha utambulisho wako mtandaoni na kuzuia mbinu za hali ya juu za ufuatiliaji kama kutambua kifaa kupitia alama yake ya kidijitali. • Saidia kuzuia vifuatiliaji visikusanye na kushiriki data yako kwa kuficha utambulisho na shughuli zako mtandaoni. • Ficha alama yako ya mtandaoni ili kuepuka matangazo yanayokulenga na udanganyifu wa bei. • Vinjari kwa kasi zaidi na bila kukatizwa, huku ukiwa na faragha zaidi kwenye vivinjari vyako vyote. Vipengele vikuu ni pamoja na: • Teknolojia ya kuzuia utambuzi kwa alama ya kidijitali • Kuzuia vifuatiliaji na vidakuzi • Dashibodi ya ufuatiliaji