WalkMe Extension
ID
fckonodhlfjlkndmedanenhgdnbopbmhWalkMe huiwezesha biashara yako kurahisisha matumizi ya huduma za mtandaoni na kuondoa mkanganyiko kwa watumiaji.
Maelezo ya kiendelezi
Picha za skrini
Maelezo
WalkMe huiwezesha biashara yako kurahisisha matumizi ya huduma za mtandaoni na kuondoa mkanganyiko kwa watumiaji.
Ifikirie kama GPS, lakini badala ya kutoa maelekezo ya kuendesha gari, bidhaa yetu huwaongoza watumiaji hatua kwa hatua ili wakamilishe kazi zao za mtandaoni kwa mafanikio
Kiendelezi hiki hutumiwa kuweka maudhui kwenye tovuti na programu ambako kipande cha msimbo hakiwezi kuingizwa katika msimbo chanzo wa kurasa za wavuti. Timu za Teknolojia ya Habari (IT) mara nyingi husakinisha kiendelezi hiki kiotomatiki ili kuhakikisha shughuli zinaendelea vizuri na kuwawezesha wateja wetu kuwapatia wafanyakazi wao wote katika shirika masuluhisho ya kuwasaidia kuanza kutumia zana za kidijitali.
Kuunda na kudhibiti maudhui kunahitaji matumizi ya Editor, inayopatikana kwa kupakuliwa hapa - https://www.walkme.com/download/
Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti yetu - www.walkme.com
Masharti ya Huduma: https://www.walkme.com/terms-and-conditions/