Application Launcher For Drive (by Google)
ID
lmjegmlicamnimmfhcmpkclmigmmcbehFungua faili za Google Drive katika programu zinazooana nazo zilizosakinishwa kwenye kompyuta yako kwa kutumia Google Drive ya Mac au PC.
Picha za skrini
Maelezo
Fungua faili za Drive moja kwa moja kutoka kwenye kivinjari chako katika programu zinazooana nazo zilizosakinishwa kwenye kompyuta yako.
Kiendelezi hiki kutoka Google hukuruhusu kufungua faili za Drive moja kwa moja kutoka kwenye kivinjari chako katika programu zinazooana nazo zilizosakinishwa kwenye kompyuta yako. Anza kwa kusakinisha Google Drive ya Mac/PC, kisha bofya faili kwenye Google Drive kwa kitufe cha kulia cha kipanya na uchague “Fungua kwa” ili kuona orodha ya programu kwenye kompyuta yako zinazoweza kuifungua.
Kwa kusakinisha kiendelezi hiki, unakubali Masharti ya Huduma na Sera ya Faragha ya Google katika https://www.google.com/intl/en/policies/.