Picha za skrini

Maelezo

Dropbox hukuwezesha kuwa na picha, hati na video zako zote popote uendapo na kuzishiriki kwa urahisi. Dropbox ni mazingira mahiri ya kazi yanayobadilisha jinsi watu wanavyofanya kazi. Leta pamoja kwa urahisi maudhui na zana za timu yako, ili kukusaidia kujipanga, kuendelea kuzingatia kazi na kuratibu kazi na timu zako.